Ikiwa ni style ambayo in apendwa na wengi na ina saidia wengi hasa kama nywele zako hazipo sawa, yaani hujasuka au ume suka zimefumuka basi turban ni njia rahisi ya kuhifadhi nywele zako. Style hii unaweza kuvaa na chochote kama ni suruali,skirt au gauni vyote vinaenda pia unaweza ukafunga na ukaingia nayo popote, kazini,kwenye sherehe au hata kwa mitoko ya hapa na pale. jifunze namna chache rahisi ya kufunga Turban hapo chini.