Ni mara chache sana kumuona mvulana/mwanaume kavaa pink, japo kuna wengine ambao hawajali as long as wanapendeza wao wana vaa tu, hivi ndivyo Noel Ndale, Martin Kadinda na Ben Pol walivyo zi style blazer/koti zao za pink

Noel Ndale au @noelgio_tz amevaa pink blazer yake na shati jeupe, jeans, viatu vyeusi huku akiwa ame accessorize na tai ya grey, miwani na saa. He looked sharp

12784100_1608328069389613_916126254_n

Martin Kadinda au @matinkadindaofficial huyu ni mbunifu yeye ame style pink blazer yake na jeans, shirt la pink na simple sneakers  za pink casual ila stylish

13707076_549130645272376_1934626675_n

Ben Pol au baba sofia yeye alivaa pink blazer yake na jeans nyeupe  na shirt jeupe ame accessorize na miwani na saa

13694604_1850606175159263_1007316217_n

Tuna tumai ume pata idea za jinsi ya kuvaa blazer yako next time ukitaka kuivaa