Si wote ambao tunamapenzi na viatu virefu japo pia hatupendi kuonekana na kimo cha chini, week hii tulipata request kutoka kwa moja ya wasomaji wetu ambae yeye aliomba apewe tips za jinsi ya kuvaa mavazi ya ofisi na viatu vifupi lakini asionekane na kimo cha chini.

Angalia video hapo chini kuona tips za nini unachotakiwa kufanya kama unatatizo kama hilo

Jinsi Ya Kuonekana Mrefu Ukiwa Umevalia Viatu Vifupi

Comments

comments


Post navigation


Social Media Auto Publish Powered By : XYZScripts.com