Tukiwa tunajiandaa na kuanza week mpya kesho na kuandaa mavazi yetu ya ofisini tumeona tukuletee tips chache ambazo zinaweza kukusaidia ku upgrade muonekano wako wa ofisi kuanzia sasa

  1. Style blazer yako ya ofisini kwa kuongezea kufunga mkanda lakini pia kukunja mikono
  2. ongezea rangi na prints katika mavazi yako ya ofisini
  3. Chagua pointed toe shoes over rounded shoes
  4. Always go for structured handbag over cross bag
  5. Jitahidi kufanya swaps katika mavazi yako

Kwa maelezo zaidi angalia hapo chini tukiwaelezea zaidi, subscribe, like na tupe comments zako

 

Comments

comments