SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

JINSI YA KUSTYLE METALLIC PLEATED SKIRTS
Mitindo

JINSI YA KUSTYLE METALLIC PLEATED SKIRTS 

Skirt zenye marinda ambazo ni za rangi za metal zipo kwenye trend kwa sasa na kuna baadhi ya watu maarufu ambao tuna wajua wame onekana nazo, na hivi ndivyo walivyo zi style skirts hizo

Millen Magesse yeye alivaa skirt hii kama off shoulder dress ambapo alivaa casual na lace up flat sandals

13534502_231157440611157_356451616_n

 

Fummie work ame ivaa hii skirt chic na blouse inayo onyesha kidogo na open sandals 14240482_1173661812691925_112425713_n

 

fashion_53 amevaa hii skirt ki classy and sophisticated na hio gold plated skirt

14334426_333559560322464_655693020489842688_n

Tupe maoni yako kupitia

Instagram – afroswagga

Facebook – Afroswaggamag

Twitter – afroswaggatz

Related posts