Jeniffer Lopez ama Jlo ndivyo anavyo julikana na wengi, ni mwanamuziki pia muigizaji kutoka marekani. Jana katika America Music Awards Jlo alikua kama Mc na kama ambavyo ana julikana Jlo sifa yake kubwa ni kupenda kuvaa vizuri na ime kuwa mtindo kwa sasa katika kila shughuli ma Mc wana badilisha nguo mara kwa mara basi ndivyo alivyo fanya Jlo jana, Amebadilisha mavazi mara kumi na hii ndio mionekano yake tofauti tafauti

index

 

JEN

 

JENNI

 

JENNIE

 

JENNIFER

 

 

JENNY

 

JLO JLOPEZ LL

 

LOPEZ

Comments

comments