Jokate Mwegelo another slayer kutoka Tanzania na wiki iliyo pita alipendeza mno akiwa ame vow in Elisha Red Label greenery & white dress, Tunaweza kusema Elisha ni moja kati ya wabunifu wa kuwaangalia yupo vizuri kwa anacho kifanya

Tume penda gauni, tumependa accessories, hair style is perfect na make up on fleek in short Jokate looks like a bag of $

Dressed by @elisha.red.label

Earrings By @gift_jeweleries

Make up by @laviemakeup

Comments

comments