Well kama tulivyo sema huu ni mwezi wa mialiko na seems like siku za mialiko ya Iftar ndio zimesha changanya week ya jana tulimuona Elizabeth Michael alivyo slay iftar outfit in Elisha Red Label Dress, Week Hii Tunamuona mwana dada Slayer mwingine Jokate Mwegelo akiwa amependeza katika hili Dera la maua maua na turban yake ya greenery amependeza mno

Tumependa make up yake aliyo fanyiwa  na divaglam_beauty, Turban by Tanzania own stylist lavidoz

ame accessorize na hizi pearl earing kutoka kwa glowbysk

we love love kila kitu kuhusu hii outfit ame jistiri & yet anaonekana stylish and classy

Kama bado hujasoma kuhusu iftar outfit ideas click hapa  kusoma.

Jokate Mwegelo In Grennery FLoral Iftar Outfit

Comments

comments


Post navigation


Leave a Reply

Social Media Auto Publish Powered By : XYZScripts.com