Ni alhamisi nyingine tena tunaelekea kumaliza kuhusu kujua aina ya mwili wako na mavazi ya kuvaa, tulianza na pear body type na  apple tukaandikia pia wale wenye miili ya pembe tatu ( triangle ) na leo tunaongelea wenye umbo la rural au rectangle kwa kiswahili tunasema mstatili

Wenye umbo la aina hii upana wa mabega, kiuno na hips viko sawa, best assets kwako ni miguu na mikono. Fashion Goal ni kuonyesha miguu na mikono.

Nini ufanye na nini usifanye ukiwa na umbo la aina hii

Kama una mwili wa aina hii basi unashare na muigizaji  Cameron Diaz, mwanamuziki Gwen Stephan kwa Tanzania tunaweza kusema Ruby.

Week ijayo tutamalizia na body shape iliyobaki tuambie kama hii series ya body types imekusaidia na ungependa tuonelee nini tena?

 

 

 

Comments

comments