Week iliyopita tuliona aina mbili za maumbo na mavzi yanayo wafaa, maumbo hayo ni pear na apple kama hukufanikiwa kusoma click link hapo chini ili uweze kusoma na kujua umbo lako linaangukia katika aina ipi ya umbo

Leo tunaongelea aina ya umbo la triangle au pembe tatu

  • Una hips na kiuno chembamba
  • una mabega mapana
  • Best Assets – Miguu
  • Fashion Goal – Ni kupunguza / soften up umbo la juu na kuonyesha ( highlight) umbo la chini

Nini Ufanye na Nini usifanye Ukiwa Na Aina Hii Ya Umbo

Watu maarufu Tanzania wenge aina hii ya umbo ni Flaviana Matata na Miriam Odemba unaweza kuangalia style zao na kuigia kutoka kwao

Aina nyingine mbili zitafuata next week