Juma Jux anajulikana na namna ambavyo anapenda kuvaa, mwaka jana alishinda kama best male dressed celebrity hapa Nchini Tanzania, week hii tumemuona akiwa amevalia viatu kutoka katika brand ya Christian Louboutin vyenye thamani ya $ 1,595/- sawa na Tzs 3,692,903.50.

Viatu hivi vimepewa jina la¬†Louis Spikes Men’s Flat, na tumemuona Juma Jux akiwa amevivalia mara mbili

Let us know je unaweza ku-spend kiasi gani kununua viatu?