Mwanamziki Juma Jux anatambulika kwa his style & expensive taste linapokuja katika swala la fashion, kama unamfuatilia utagundua ana kijibag anakibeba sana kwa sasa.

Bag hii ni kutoka kwa brand ya Louis Vuitton ikiwa inatoka katika collection ya Virgil Abloh’s SS19. Inauzwa Usd 2,810/- Ambazo ni sawa na Tzs 6,468,760.50 za ki-Tanzania.

Juma amebeba hii bag mara kadhaa ila hii ambayo alivaa na T-shirt ya blue,suruali ya kack pamoja na colorful kicks ndiyo ambayo tumeipenda zaidi, he looked stylish.

well afromates kama ungependa kununua bag hii unaweza kuipata hapa us.louisvuitton.com

Comments

comments