Jux ni trend settler tuseme huwa ana style za peke yake na tuna weza kusema he understands fashion, katika picha zake mpya ameonekana kuvaa a vintage style kwa wale mtakao jiuliza vintage ni nini, jibu ni hili VINTAGE ni style ama nguo ambazo zina zina onyesha (imitates) siku za nyuma mfano- leo mtu akavaa bwanga na raizon hio ni vintage lakini pia rangi zina matter katika haya mavazi tutaongelea zaidi kuhusu hili katika post zijazo, kwaio jana ndio Jux akaamua kutu take us all the way back on black & white

 

jux amevaa long sleeve tee ambayo ina mistari ya rangi nyeupe na nyeusi, kavaa suruali nyeusi akamalizia na mkanda

Jux hawezi ku step out bila accesoriez ame mis- match accessories yaani kavaa gold na silver in which huwa haviendagi ila kwa sababu ni vintage acha tu pass out hilo, akamalizia na miwani yenye black & white

je unaonaje kushusu muonekano huu wa jux ame pendeza au lah? tuambie

Instagram – afroswagga

Facebook – afroswaggamag

Twitter – afroswaggatz

JUX GONE VINTAGE

Comments

comments


Post navigation


Leave a Reply

Social Media Auto Publish Powered By : XYZScripts.com