Elizabeth Michael ana tambulika kama muigizaji wa filamu lakini ukiachana na sifa hio pia Lulu ni msichana anaependa kwenda na wakati leo tunakuletea juzi,jana na leo kwa upande wa fashion na jinsi alivyo fanya mapinduzi.

LEO

haya ni mavazi yaliyo tuvutia kutoka kwa Lulu ya hivi karibuni

7f7cLulu34 LULU245 lulu67781 lulumichael

JANA

hizi ni zile za kipindi cha nyuma  kidogo lakini pia zilivutia

LL LULU2 LULU3 tut

JUZI

hizi ni za muda mrefu lakini pia zilishika chat

lulusindiria michael timthumb.php