Kendall Jenner ameonekana kukomaa na umaarufu sasa, amepata negative comments kutokana na tangazo lake la Pepsi na seems like she careless kuhusu hayo madongo anayo pewa Kendall ame attendĀ  katika Harper’s Bazaar 150th anniversary party na one word to her STUNNING, Tumependa gauni aliyo vaa,make up na bila kushahu the shoes

Kendall Jenner amevaa gauni kutoka kwa Italian designer anaye donate 50/ ya mauzo ya kila nguo kwa watu wanao hitaji msaada, Kendall shoes are just wow

baadhi ya mastaa wengine walio attend part hio ni

Priyanka Chopra

Imaan

Dotzen Kroes