Vilemba vimevaliwa enzi na enzi na mababu zetu, lakini kidogo kilipunguzwa makali upande wa wanaume na wanawake wakawa wanaonekana kukivaa sana kwa Nchi za Arabuni ni rahisi kumkuta mwanaume amevaa kiremba kuliko huku kwetu lakini guess what? imeonekana style hii inarudi kwa kasi na kuonekana ikivaliwa na watu maarufu mbalimbali wakiume pamoja na wanamitindo.
Moja kati ya watu maarufu waliovutiwa na urembo huu ni mwanamuziki wa kiume kutoka Nigeria Patoranking ameonekana akiwa anavaa vilemba vya style tofauti tofauti kwa nyakati na sehemu tofauti, well we must say his style turban is always on point.
Ni kitu ambacho kinampa mwanaume utofauti tulisha zoea eghal, baghashia au kofia hii ya kilemba ilisha sahaulika na ukionekana kukivaa kama kilemba lazima watu wapate mshtuko kidogo
white turban with orange number
White and black cause you never go wrong with the colors
Black and yellow just like Wizz Khalifa’s songĀ
Wengine ambao wameonekana kuvutiwa style hii ni
Uche Uba kutoka Nigeria nae ameonekana kwenye hii style yeye alivalia cha kitenge
na Fayo Aina nae hakutaka kupitwa
Tuambie Je wewe kwako ni sawa au hapana ikupite tu?