Kim Kardashian West aliuaga mwaka 2016 vibaya kwa kuibiwa baadhi ya vito vyake vya thamani, Kim Kardashian akaamua kupumzika katika kila kitu ikiwemo na mitandao ya kijamii. Ila ame rudi now na style zake ndizo zinazo tutia mashaka je walimuibia na kabati lake la nguo? amekua akivaa nguo ambazo hatuja zoea kumuona nazo ni kama ame rudi nyuma hivi kiasi fulani
amekuwa akionekana mno kwenye masweta na masuruali makubwa makubwa, we miss the old Kim Kardashian. Hatumaanishi The nudist Kim hapana ila The Stylish Kim
Tuna miss vile ana pendezaga hata akiwa mitaani, picha ya juu alikuwa anaenda/kutoka dinner date na Kanye trust us kama ingekuwa ni zamani lazima ange slay akatupa cha kuongelea midomoni
distressed Jeans na makoti ndio yamekuwa mavazi yake siku hizi well Kim Be Back Soon, Hakuna uchungu kama wa kuzaa ila ulikuwa ukirudi fasta kwenye ku slay kwako plus Flat Tummy usitufanye tuamini una penda gold zako zaidi. Pia hatumaanishi kwamba hatuja umia alivyo ibiwa La Hasha ila ni miezi sasa toka October 10 jamani… kitu kimesha enda kimeenda tugange yajayo anyways Yeezy will buy another one’s
Kim K na Kanye West
Wasiliana nasi Kupitia
Instagram – afroswagga
Facebook – afroswaggamag
Twitter – afroswaggatz