Kim Kardashian reality star wa keeping up with the kardashian amekua akitupa vionjo au kutuonjesha Yeezy Season 6, brand ya mumewe Rapper na designer Kanye West, well truth be told tumeisubiri sana hii collection, ameghairi mara nyingi sana kui-release lakini finally inaonekana itaanza kupatikana soon.

In a series of pictures huko Instagram mwanadada Kim Kardashian amekua akipost picture zake akiwa amevalia collection hio na caption ya Yeezy season 6, kilichopo kwenye season hii tulicho kiona so far ni  leggings, bodysuits, zip-up sweatshirts, body-hugging skirts,biker pants

All Yeezy Season 6

A post shared by Kim Kardashian West (@kimkardashian) on

As usual kanye huwa ana buni mavazi yake mwenyewe ana sema ana fikiria homeless people hii collection rangi ya hizi nguo zimefubaa rangi zilizopo ni nyeusi, gray, beige na navy

we love these trouser though,

 

 

so far icho ndicho kitakuaepo kwenye yeezy season 6 tuambie je hii collection inautofauti na zilizopita?

 

Kim Kardashian Is Giving Us Hints On Yeezy Season 6

Comments

comments


Post navigation


Social Media Auto Publish Powered By : XYZScripts.com