Ukiongelea swala la being extra na perfection basi unamuongelea mwanadada Kim Kardashian huwa anapenda kufanya mambo yake in perfection way, katika Halloween hii Kim Kardashian amevaa 3 costumes ambazo we must say amefanya kazi nzuri

ame channel watu maarufu watatu Madonna, Cher na Aaliyah

Kim na rafiki yake Jonathan Cheban wakiwa wame m-channel mwanadada Cher

Cher

Kim Kardashian na dada yake Kourtney Kardashia wali wachannel Madonna & Michael Jackson mtoko wao wa 1991 katika tuzo za Oscars, Actual this is our favorite

Kim & Kourtney

Michael & Madonna

Na jana aliamu kumchannel mwanamuzi Aaliyah na amepata comment nyingi mbaya ila she nailed this one too

Aaliyah 

Tupe maoni yako umependa ipi zaidi

Kim Kardashian The Halloween Queen

Comments

comments


Post navigation


Leave a Reply

Social Media Auto Publish Powered By : XYZScripts.com