Lady Gaga hivi karibuni ameonekana akiwa amevalia suti vizuri lakini hakutaka kuonekana kawaida ndipo alipo amua kuvaa miwani ya jicho moja. Tumependa mavazi yake kutoka juu mpaka chini lakini hii miwani hapana lady gaga noti raiti

gaga4 gaga5 gg2