Muigizaji Kutoka Kenya Bi. Lupita Nyon’go ame endelea ku keep It African katika kuitangaza Movie yake mpya ya Queen Of Katwe, Juma mosi iliyo pita alikuwa katika London Film Festival katika premiere ya movie yake Queen of Katwe, na kama kawaida she dressed to kill. Lupita alionekana katika colorfully outfit iliyo sindikizwa na gere kichwani
Lupita ali accessorize vazi lake hilo na hereni ndefu za blue
Alipaka eye liner ya blue, bold red lipstick
The head wrap na trouser is every thing
Comments
Related posts
HOT TOPICS
Martin Kadinda Debuted She Gentle Collection At Swahili Fashion Week: Mbunifu Martin… https://t.co/BBAefWm0Al
FollowNjia Za Kujali Handbag Yako Idumu Muda Mrefu: Kama ambavyo unaweka cover na protector… https://t.co/rYXOb7PBbX
Follow#SwahiliFashionWeek2019 Lundi and Sons Collection #SwahiliFashionWeek2019 https://t.co/1sgnuYbDen
Follow
FOLLOW US!