Zikiwa zimesalia takribani wiki mbili tu ile tamthilia pendwa ya Empire season 2 itoke, Trai Byers (andre), Bryshere Gray (hakeem) na Jussie Smollett (jamal), wataonekana katika jarida jipya la GQ mwezi wa kumi. Wavulana hawa wamevalishwa na Mkapuni  zenye majina makubwa katika ulimwengu wa mitindo kama Louis Vuitton, Saint Laurent na Givenchy. Wame tupa sababu nyingine tena ya kuisubiria empire kwa hamu.

[URIS id=1260]