Man Crush Of The Day ni hit maker wa ‘Classic Man’ Jidenna Theodore Mobisson ana julikana kama Jidenna ni mchanganyiko wa Nigeria na American.

Kilicho fanya leo awepo katika Man Crush yetu ni jinsi ambavyo Jidenna anavyo vaa Classic kama wimbo wake.

Jidenna ana jua kujipangilia mavazi kuanzia nywele mpaka viatu

336b0b8055840a2f6e6c465fd970cc0f

Anapenda Ankara (kitenge) labda kwa sababu ni m Nigeria rs_634x1024-160828162556-634-jidenna-mtv-vmas-arrivals.82716

Style yake ni simple yet classic & smart

jidenna-bet-awards-2016-in-pictures-12-1467015950-view-1
anapenda kupangilia rangi moja katika mitoko yake na hii ina mfanya aonekana neat
cane-723x1024
MCOTD JIDENNA THE CLASSIC MAN

Comments

comments


Post navigation


Leave a Reply

Social Media Auto Publish Powered By : XYZScripts.com