Kwa sasa inaoneka mitupio (fashion) ndio kitu kinacho trend kila mtu anataka kuonekana smart kuliko mwingine “thanks to our fellow bloggers kwa kupaza sauti kwa ajili ya mionekano ya wasanii wetu” ina onekana sauti ime sikika na sasa wana lifanyia kazi hadi kuamua kushindana lol we are here for this aisee

Dogo Janja ameamua kuchukua muda wake kuwa habarisha wa Tanzania pamoja na wasanii wenzake kwamba ana ukubali muonekano wake na haoni wa kumzidi dar, kupitia Instagram yake Janjaro ali upload picha hizi huku akiamua kuzisindikiza na caption za kwamba kwenye swala zima la fashio yeye ndio mkali wetu

 

Kwa kweli janjaro huwa ana pendeza lakini kusema kuliko wote dar nzima Janjaro ame fanya research yake vizuri kweli? tuambie kupitia

Instagram – afroswagga

Facebook – afroswaggamag

Twitter – afroswaggatz

 

Comments

comments