Millen Magese amehudhuria hafla ya tuzo za BET akiwa amevalia gauni kutoka kwa brand iitwayo ae’lkemi, Gauni yake inaitwa Mirror scuptured dress, the dress shine’s can make her hater’s go blind

Amevaa hii gauni ya gold na strap sandals za njano, akiwa amemalizia na waist length straight hair na statement neck piece na rounded pulse

 

Millen looked so gorgeous dripping in this dress

Tumeenda kwenye website ya brand hii hatujakuta hili gauni lakini unaweza kuangalia bidhaa zao nyingine hapa aelkemi.com

Millen glam team  make up by @lolasbeautymark

Hair styled by @kyssheart @hair_by_kira@hairglamourinternational .

Dress from @aelkemi_inc S

TYLED by @iamhdiddy

 

Millen Magese Wearing Aelkemi Mirror Sculptured Dress At BET Awards 2018

Comments

comments


Post navigation


Social Media Auto Publish Powered By : XYZScripts.com