Tumemaliza week na tunaanza week nyingine kama kawaida tunakuletea Weekly fashion highlights ya msanii gani maarufu kavaa nini na kama amependeza au lah katika macho yetu,

Week hii tunao

  • Miss Tanzania 2016/2018 – Diana Flave
  • Msanii Wa Bongo Flava – Diamond Platnumz
  • Producer – Nahreel
  • Msanii – Shilole
  • Video – Vixen Huddah
  • Dada wa Taifa – Mange Kimambi

Tazama hapo chini kujua maoni yetu kwa kila mmoja wao, mtangazaji wetu ni @willbard_jr

Tupe maoni yako kupitia box la comment hapo chini