Darling Hair

Cannes Film festival ni tamasha la filamu linalo fanyika kila mwaka nchini Paris, Miriam Odemba ni mwanamitindo wa kimataifa anae tokea Tanzania ambae kwa sasa ana fanya kazi zake Paris chini ya kampuni ya  URBAN Talents Paris France.

Wiki hii alikuepo katika Festival hio na alitokelezea vibaya mno

13167183_132593390482477_742047714_n 13248847_1092459730813926_405670186_n 13256841_1758183931082998_732840128_n 13277572_242451342788015_1745326377_n

amevalishwa na @alikaroui

wakati mkufu wake ni kutoka kwa @chopard  na ni Tanzanite

MIRIAM ODEMBA ALIVYO TUWAKILISHA PARIS

Comments

comments


Post navigation


Leave a Reply

Social Media Auto Publish Powered By : XYZScripts.com