Sasa hivi watu wamekuwa wakitafuta namna tofauti za kuvaa na kupendeza katika sherehe zao, lakini wengi wakiwa wanatumia sana vitambaa vya aina nyingine na kuacha kitenge na khanga kwa kudhani ni ushamba au mishono ya khanga na vitenge haiwezi kukaa vizuri, we are here to prove to you unaweza kushona kitenge chako na ukapendeza vizuri tu. Hii ndio mishono tuliyo kutafutia unaweza kuigia
Traditional wedding wear
Purple & white
African Queen
Mishono Ya Kitenge Ya Kuigia Kama Una Harusi Au Kitchen Part