Ukiongelea ma Miss ambao walitumikia muda wao na kupotea basi huwezi kuacha kumtaja Richa Adhia, Richa alishinda miss Tanzania 2007 na kwenda kushiriki katika Miss World China

Ukiachana na kuwa model na event organizer Richa alisha wahi kujaribu kuigiza na ameigiza katika hizi movie mbili  2009-Full Moon, 2012-Zamora

Kwasasa Richa yupo nje na anaendelea na kazi yake ya u-model

Fierce

Comments

comments