Jihan amesha fika Philipines zamani kwa ajili ya mashindano ya Miss World Universe na katika vazi ambalo lilikuwa lina tupa mawazo basi ni vazi la Taifa kwa sababu tunajua Nchi yetu hatuna vazi linalo tu- introduce lakini Kudos kwa mbunifu aliye buni vazi hili kwa sababu ame jitahidi mno, hatukutegemea

 

National costume au vazi la ubunifu la kitaifa limebuniwa na @talented_designer_diana_magesa Diana Magesa Made of recycled bottles and minerals with hand painted Tingatinga art on the costume

tumependa how colorful vazi lime tengenezwa, tume penda idea ya recycled bottles na mneona the boots? we are in love with the creativeness.

keep voting for Jihan kwa ku download application ya Vodi au kutumia mtandao wa twitter post picture yake na andika #missuniverse #tanzania

Kuwasiliana nasi tuandikie

Instagram – afroswagga

Facebook – afroswaggamag

Twitter – afroswaggatz

 

Comments

comments