Baada ya hustles za week nzima muda ume fika wa ku party, hapa ndipo unapo vua offical wear na kuwa casual, drop some heels na let your feet breath. Lakini una party una jua nini cha kuvaa? kama hujui, unajua lakini huna uhakika nacho au unajua lakini unataka kujua zaidi tupo hapa kwa ajili hiyo. hizi ndizo friday outfit ideas kwa ajili ya mitoko yako kutoka kwa Kenyan Fashion Blogger Bridget Shighadi

casual with denim shorts iwe skirt au pants ina tegemea na feeling zako za leo

African prints vibes

chic vibes

Party hard lakini kumbuka kesho pia siku, Friday Njema.

Comments

comments