Ikiwa hali ya hewa bado haitabiliki wengi tutakua tuna waza jinsi ya kutoka, uvae nini na vipi kama ukivaa halafu mvua ianze kunyesha? au una weza ukatoka mvua ina nyesha halafu ukafika uendapo ikakata? watu wata kushangaa na masweta yako unacho takiwa kufanya ni usivae ki mvua mvua sana wala kawaida sana, una weza uka vaa koti refu ambalo mvua ikinyesha una weza kuvua na kulihifadhi sehemu.

Hizi ni baadhi ya tulizo waandalia ambazo unaweza kuiga katika mitoko yako week end hii

Do-The-Hotpants-Dana-Suchow-All-White-Outfit-White-Pants-Pulled-Back-Long-Hair-Shoes-with-Socks-Spring-Fashion-IMG_7510-1 Do-The-Hotpants-Dana-Suchow-Tribal-Pants-Colorful-Harem-High-Waisted-Trousers-Floral-Print-Pants-IMG_5130 Do-The-Hotpants-Dana-Suchow-White-Wide-Brim-Hat-All-White-Outfit-NYC-Winter-Fashion-Dark-Fall-Lipstick-_M8A0397 Do-The-Hotpants-Dana-Suchow-Winter-Fashion-New-York-Streetstyle-2016-Tie-Dye-Hippy-Outfit-Turban-Hijab-IMG_6625-1

Do-The-Hotpants-Dana-Suchow-White-Jumpsuit-Navu-Blue-Peacoat-Trench-Coat-Jacket-Red-Lipstick-Long-Hair-Woman-MJJ_9652