Niler Bernard ni mwanamitindo kutoka Tanzania ambae sisi tunaweza kusema we must watch her out maana kasi yake kubwa mno. Sio mwanamitindo mpya katika Tasnia yupo kwa miaka mitatu au minne (kama hatukosei) tunadhani alikuwa ana jiandaa na sasa ame rudi na we are loving her come back. Sisi tuna muita Teyana Taylor kutokana na mwili wake ulivyo na kidogo wame fanana

Teyana Taylor

Niler Bernard

tunahisi atakuja kufanya vizuri na kufika mbali sana kama atanedelea hivi tuna mtabiria kuwa next Herieth  Paul.

amekuwa model wetu wa wiki hii kwa sababu nyingi lakini moja wapo ni jinsi anavyo weza kupose kwenye camera na body language

tumapenda kila picha aliyo ipost na hizi ni baadhi ya zilizo tuvutia kutoka kwake

Wedding theme 

unaweza kumfollow instagram @nilerbernard kuona mengi kutoka kwake.

Model Of The Week – Tanzania Own Teyana Taylor “Niler Bernald”

Comments

comments


Post navigation


Leave a Reply

Social Media Auto Publish Powered By : XYZScripts.com