Week hii katika model of the week tuna huyu black melanin Thomas Nguka au Thom_nguka, Thomas ni mode kutoka Tanzania ambae kwetu tunaweza kusema ana hitaji kuwa recognized kama model wa kiume, ukiachana na wale wauza sura Thomas yupo vizuri kwenye kazi yake unaweza kuona hata picha zake yupo professional na anaonekana ni kitu ambacho ana penda kufanya.

Thomas amekuwa model wetu wa week hii kwa sababu nyingi lakini kubwa ni jinsi ambavyo yupo focused na kazi yake

 

 

tunategemea kumuona Thomas jukwaani mara kwa mara lakini pia tunategemea atakuwa best male model kwa Tanzania

Unaweza kumpata kupitia account yake ya Instagram @thom_nguka 

 

Model Of The Week: Thomas Nguka

Comments

comments


Post navigation


Leave a Reply

Social Media Auto Publish Powered By : XYZScripts.com