Mitindo ya kujifunga kilemba inayo itwa turban (turban head cover) ni mtindo wa kisasa mitindo ambao una funika kichwa na kuacha shingo wazi, kuna migogoro kwamba haifai kwa sababu haifuniki shingo

4d0f5c2ec4e6215d456ffe6d3ac4865a

ikivaliwa ipaswavyo basi inafaa na kukupa muonekano wa kupendeza

hijab4

 

Mitindo inakua mambo yanabadilika wasichana wengi wana penda kuonekana wa kisasa na staili ya turban ni moja ya mtindo ambao wasichana wanapenda sana hasa kutokana na kwamba unaweza kufunga kwa namna tofauti tofauti na kuvaliwa na nguo tofauti

 

29e717d6a403f6cdcbbdc1905322f6e2

“‘kuna muda ina chosha kuvaa hijab kwa namna moja kila siku” wasichana wengi husema hivyo

 

7ef344a23d5d26375b444439363a792f

 

” staili ya turban ni mabadiliko makubwa kwa wasichana wanao vaa hijab kwa sababu unaweza kubadilisha mtindo wa jinsi ya kuvaa kila mara”

img_6749