Jeans iwe suruali,sketi ama gauni inaweza kuvaliwa kokote ikiwemo Kazini.Ni jinsi tu ya kuifanya ikae kiofisi, ukivaa jeans kama ni suruali au chochote wakati wa kwenda kazini inabidi uongezee vitu vifuatavyo
kikoti
mapambo kama saa,mikufu au hereni
viatu vya kiofisi
Pochi
hii ni mifano ya vipi unaweza kuvaa jeans ofisini.

[URIS id=2106]