MTV Movie & TV Awards 2017 imefanyika  May 7, 2017, iliyo fanyika Shrine Auditorium in Los Angeles, California, U.S, watu maarufu wengi walihuduria tuzo hizi na kama kawaida yetu sisi huwa tunaangalia nani kavaa nini na alicho vaa kime tubariki au lah? hawa ndio best dressed for the night

Amber Rose

Cara Delevingne

Emma Watson

Farrah Abraham

Gal Gidot

Hailee Steinfeld

Jasmine Tookes

Jourdan Dunn

Millie Bobby Brown

Taraji P Henson

Trace

Trace Lysette

Zendaya

Comments

comments