Mwanamuziki Belle9 ambae ametamba na vibao vingi kama sumu ya penzi,amerudi na vinginevyo amekuja na muonekano mpya ambao ni crazy colors, ni mara chache kwa mvulana kuvaa rangi za kung’aa kama njano,rangi ya chungwa au kijani. Belle alizoeleka pia kama wavulana/wanaume wengine kuwa ana vaa nguo zilizo na rangi zilizo tulia kama nyeupe,nyeusi na kijivu, lakini hivi karibuni ameonekana akiwa na muonekano wa kipekee akiwa amechanganya rangi mbali mbali, kama wewe mpenzi wa mitindo tupe maoni yako aendelee na huu muonekano au aachane nao?

 

belle belle9 belletz