mchumba wa muigizaji/mchekeshaji Kevin Hart ame sheherekea bachelor  party  yake kipekee, wawili hao walitangaza uchumba wao mwaka 2014 ambapo mwaka huu unaonekana ndio ndoa yao ita fungwa japo hawaja taja tarehe na wala kuweka wazi, lakini mpaka wana sheherehea bachelor party ina maana ndoa haipo mbali.

tuna sema Eniko ParrishA me sheherekea party yake hii ki pekee kwa jinsi ambavyo yeye na marafiki zake walivo vaa. wame vaa swim suit nyekundu wakati Future Mrs Hart ame vaa swim suit nyeupe yenye bow nyekundu nyuma

enik-1024x847 eniko-2 eniko-2-1024x1024 eniko-867x1024 enikos-bachelorette-party enikos-bachelorette-party-_style-yetu Ok-ladies..-Now-lets-get-in-formation.-1024x824