Nadia Buhari ni muigizaji kutoka Ghana, hivi karibuni ameonekana katika Ghana Movie Awards akiwa amevalia kihindi. Nadia amependeza ndani ya vazi hilo liitwalo Sari ambalo huvaliwa na wanawake kutoka South Asia. Ni kitu cha tofauti na ni watu wachache ambao huwa na uthubutu wa kuvaa mavazi ya kiasili kutoka sehemu mbalimbali

nadia-buari-1 nadia-buari-2