Kuna muda tuna choka kuvaa nguo za kike au zile zile kila siku, Tuna kua bored na hatujui nini cha kuvaa. Wakati mwingine tuna penda tu tuvae mashati ya watu wetu wa karibu wa kiume kama kaka, mjomba,baba na hata mchumba lakini yanaweza yakawa makubwa au yakatutosha lakini usijue ni namna gani ulivae, basi hizi ni namna tatu ambazo unaweza kuvaa shati la kiume na unakatoka nalo kwenye mitoko mbali mbali,

unaweza kuvaa Tshirt au shtai la kiume uka ongezea na Belt la kiunoni hili likae kikike zaidi, unaweza ukavalia na sketi fupi, skin tight au hata skin jeans, unaweza kutoka katika mitoko ya mchana na marafiki.

ootd-fisayo-longe-

 

Pia unaweza kuvaa shati hilo kama kijigauni (shirt dress) ukaongezea na kubeba mkoba na kijikoti kwa juu ukawa mtoko wako wa usiku na mpenzio au hata kwenda kuangalia filamu na marafiki.Pinstripe-Shirt-dress-3

 

Unaweza ukaamua kutokelezea kiume kabisa, ukachukua suruali yake kama ina kutosha na shati pia ukaviaa ukapata muonekano wa kitofauti siku hio wazungu huita tomboy swagg/style.Style Pantry

Hili ni chaguo zuri pale ambapo huna cha kuvaa au umechoka kuvaa nguo zako, na vile vile katika ile mitoko ya ghafla.

NAMNA 3 ZA KUTOKELEA NA SHATI LA KIUME WEEKEND HII

Comments

comments


Post navigation


Leave a Reply

Social Media Auto Publish Powered By : XYZScripts.com