Kwa wavulana kuonekana upo fashionable ni rahisi mno kwa sababu fashion zao hazibadiliki mara kwa mara kama una viatu vizuri, suruali au kaptura nzuri na shirt au t-shirt nzuri basi ukivaa utaonekana umependeza lakini ni vipi uonekane stylish? ukiachana tu na kuvaa ulivyo vizoea? our favorite male youtuber/vlogger Alex Costa ana tupa tips 5 za jinsi unavyo weza kuboresha muonekano wako

  1. Badilisha Muonekano ( Change It Up) – ana sema tumezoea kuvaa t-shirt/shirt au suruali tukiwa tumeziachia lakini unaweza kuboresha muonekano wako kuonekana wa tofauti kwa kukunja mikono ya shirt au t-shirt lakini pia una weza kukunja miguu ya suruali.

2. Add layers kwenye mavazi yako – kuongezea layers ni kuongeza nguo juu ya nguo yaani kama kuvaa coat la suit juu ya t-shirt, kuvaa                       kimon etc

   3. Accessories – kama ambavyo ilivyo kwa wadada kwa wakaka pia ina apply accessories zinaweka ku upgrade muonekano wako kutoka 0-                       100%, inaweza kuwa saa, mkanda, bracelets etc

4. Safisha Viatu – hii ni tip muhimu tuliyo ipata kutoka kwake, hata kama umependeza kiasi gani kama viatu vichafu basi muonekano wako                     wote una haribika so clean your shoes brothers.

 5. Peleka Nguo Zako Kwa Fundi – Nguo zinazo kutosha always zinakufanya uonekane fashionable

Unaweza kuangalia video yake hapa akiwa ana kuelezea vizuri kabisa

 

Ni matumaini yetu mme jifunza kusoma jinsi ya kuboresha muonekano wako kwa upande wa wasichana click hapa

 

Namna 5 Za Kuboresha Muonekano Wako (Men Version) – By Alex Costa

Comments

comments


Post navigation


Social Media Auto Publish Powered By : XYZScripts.com