Tumezoea kuvaa blazer (koti) ofisini au kwenye mikutano maalumu mfano business meetings, na tukitoka hapo hatuzitumii tena mpaka pale tutakapo pata jambo linalo husiana na kazi au biashara, tukiamini kwamba vazi hili limebuniwa kwa shughuli hizo tu, lakini si kweli unaweza kuvaa blazer yako mahala pengine as long as uta i-style kuendana na mahala hapo.

Stylist @makuto_style  anatuonyesha namna mbali mbali unazo weza kuvaa blazer yako nje ya ofisi.

Unaweza kuvaa Blazer na Tutu skirt na pumps ukatoka kwenda harusini au sehemu uliyo alikwa yenye sherehe fulani.


Blazer vs sheer skirt & statement belt, hii unaweza kuvaa ukiwa unaenda date usiku

Blazer na track pants na pumps unaweza kuvaa ukiwa unatoka na marafiki kwenda kwenye movie date au popote ambapo hapaitaji uwe too official au uvae ki event event

Boyfriend jeans & the blazer

Mini Skirt X Blazer X Converse