Gucci, Channel, Fendi for what? Move over sababu kitenge kimeanza kuchukua nafasi once again,na fashionista’s kutoka sehemu mbalimbali wanatuonyesha umahiri wao wa ku-slay mishono hii ya kitenge

Muigizaji na fashionista kutoka Ghana, Nana Akua Addo tulim-spot akiwa katika hii kitenge jumpsuit ambayo tumependa jinsi ilivyo kuwa unique, layered kitenge kilivyopangwa vizuri, and the trumpet sleeves to make a statement yeye amemalizia muonekano wake na rasta za vitunguu, miwani na clear heels na tiny handbag.

The Tiny Bag By Jacquemus Vs Double Chanel Bag

Mtangazaji kutoka South Africa Pearl Modiadie yeye tulimuona akiwa katika hii mixed prints layered mermaid dress, ambapo alikuwa akihost  katika #saftas13 kama una sherehe hivi karibuni na sare ni kitenge, huu mshono ni perfect kwa such event.

Tv presenter & designer kutoka Nigeria, Adeaga Bukunmi yeye ametupa all shades of slayage in this print mixing look, body snatched, mshono on point, well styled she just showed up and showed out in this kitenge look, we love.

Afromates mshono upi umekuvutia zaidi?

Comments

comments