Ni nadra sana kumkuta mwanaume amevaa mavazi ya rangi rangi kwa sababu tu wanahisi labda rangi rangi zimekaa kisichana lakini je kweli rangi zinausichana na uvulana? au ni kwa sababu mtoto wa kiume ana valishwa blue na wa kike anavaa pink basi tukalili maisha yetu yote? hapana right unaweza kuwa mwanaume na ukavaa rangi rangi bila kupoteze asili ya uanaume wako.

leo wakati tupo mizururoni tukakutana na Men Fashion Blogger Norris Danta Ford, ambae yeye amesomea business marketing lakini ame angukia kkatika fashion  wanasema do what you love si ndio? Norris yupo tofauti na wanaume wengine yeye anavaa sana rangi na hiki ndicho kilicho tuvutia kutoka kwake.

Kitu cha kwanza tume notice kutoka kwa Norris ni Floral colorful shirts, ana weza kuvaa rang zilizo tulia chini lakini akaja kuongezea rangi kwa kuvaa haya ma-shirt

Cha pili ni colorful socks,blazer ama kizibao kitu kimoja tu chenye kucutia kinaweza kubadilisha muonekano wako kutoka 0-90, kwa mwanaume mwingine angevaa tu shirt na suruali zinazo endana rangi angependeza lakini kusinge kuwa na jipya lakini kwa Norris lazima utavunja shingo kwa kumuangalia kutokana na yeye kuongezea hizi colorful touch’s 

Kingine ni kumix rangi unaweza kuona hapo chini amevaa purple, nyekundu na socksi za njano kujaribu hili tafuta rangi ambazo zina pop lakini sio saana

 

Black & white na light brown touchs.

unaweza kumtafuta kwenye blog yake norridantaford.com au kumfollow instagram @norrisdantaford

Kusoma Tips nyingine kuhusu namna ya ku-upgrade muonekano wako (men version) click hapa 

 

Namna Ya Kuongezea Rangi Katika Mtoko Wako (Men Vesrion) By Norris Danta Ford

Comments

comments


Post navigation


Social Media Auto Publish Powered By : XYZScripts.com