Blazer ni moja kati ya essential muhimu katika mavazi kuwa nayo, inaweza kukusaidia hasa official yaani business meetings au kazini lakini pia unaweza kuzivaa nje ya sehemu hizo mbili kama tu utataka iwe hivyo. Wengi hudhani huwezi kuvaa blazer ukiwa casual au dinner sisi tuna kwambia unaweza na utapendeza tu. Hivi ndivyo namna chache za unavyo weza kuvaa koti lako nje ya ofisi

Matching blazer, hot pant na tshirt

 

 

Blazer & Distressed Jeans

Suit & bralette

Blazer & Boyfriend jeans

 

Matumaini yetu katika mtoko wako ujao utajua uvae blazer na nini

 

Comments

comments