New York Fashion Week bado inaendelea na tunakupa review za wale wabunifu ambao wengi huwa tunawasubiri kwa hamu, juzi mwanamuziki hustler Rihanna ali debut collection yake na Puma katika runway za New York Fashion Week na kama kawaida yake show ilikuwa ya tofauti ilianza na michezo ya pikipiki, models waka show case nguo mwisho Rihanna mwenyewe aliingia akiwa katika pikipiki, tunacho weza kusema Fenty X Puma wame wakumbuka wana michezo katika hii collection, ni sport collection ambayo ndani yake kuna pieces chache yoyote anaweza kuvaa

Collection ina track suits, hood, crop tops, jackets ect ime walenga wacheza michezo mbalimbali wana riadha, mashindano ya magari na pikipiki,waogeleaji na  masumbwi

 

 

 

 

Kwenye accessories kuna bag packs, miwani, caps lakini pia kuna heels flip flop ambazo watu wameonekana kuzikataa

Show stopper

New York Fashion Week – Rihanna X Puma Ready To Wear Spring 2018 Collection

Comments

comments


Post navigation


Social Media Auto Publish Powered By : XYZScripts.com