Linapo kuja swala la harusi hasa kwa mtu maarufu tena aliye kwenye mitindo kila mtu anakua anataka kujua itakuaje, watavaa nini, bibi harusi itakuaje lakini je wageni waalikwa nao wamejiandaaje? weekend hii mbunifu mkubwa kutoka Nigeria Olorunyomi Makun aka YOMI Casual amefunga ndoa na mpenzi wake Grace Onuoha,

Bibi harusi alivaa magauni matatu katika harusi yake

Alivaa White Cinderella wedding dress ambayo ili naksiwa na lace mikononi na silver crystal knobs, amekuwa accessorized na dropped earrings, saa na crown

 

Kwenye reception alivaa hii blue Cinderella dress ambayo imeachia kifua kidogo pia ame accessorize na same accessories alizo vaa katika white dress yake

pia alivaa this pink dress that we loved so much

Brides maids walivaa one hand burgundy dress iliyo pitishwa lace nyeupe (simple yet classy)

Groom men walivaa suits za cream na tai za burgundy to match with the bride maids

Wageni waalikwa nao walipendeza mno

 

 

Nigerian Top Fashion Designer Olorunyomi Makun Wedding Is Goals

Comments

comments


Post navigation


Leave a Reply

Social Media Auto Publish Powered By : XYZScripts.com