Jina lake ni Faraja Kotta ila baada ya kuolewa ame badilisha kwenda Faraja Nyalandu, Faraja ame tikisa sana mwaka 2004 baada ya kutwaa taji la Miss Tanzania. Faraja amekua chaguo letu leo na outfit yake tuna sema outfit of the day, na hii hali ya hewa na jinsi alivyo vaa ameendana nayo japo ina wezekana pia akawa hayupo Tanzania but who cares hata huku pia kuna baridi

Faraja amevaa long sleeve pull neck ya rangi ya green military, pleated skiry ya rangi hiohio na knee boots, amemalizia mtoko wake na enjipai necklace. Well amependeza na bila kusahau kwamba ame rock her natural hair & natural face bila ya makeup. Faraja won today.

Comments

comments