Annisaabaya kama ambavyo wengi wanamjua, lakini jina lake kamili ni Fatma Naeem ni mbunifu kutoka Tanzania anae buni ma abaya/baibui. Hii ni collection yake aliyo itoa hivi karibuni na kuipa jina  Secret Garden.

unaweza kununua ma baibui haya si tu kwa ajili ya Eid bali pia Sherehe na hata matumizi ya kawaida,  Annisa anapatikana Aly Khan Road opposite na  Jamat Khana (Dar-Es-Salaam).

Photo Credit: Shotsbymaheen

Model: n=Nelly Kamwelu & Jihandimack

Makeup: Faysmakeupdaily

1
3
2
4
5
6
7
8
9
10
11
12
13
14
15
PATA MUONEKANO WA EID NA ANNISA ABAYA

Comments

comments


Post navigation


Leave a Reply

Social Media Auto Publish Powered By : XYZScripts.com